BUSTANI

Responsive Advertisement

JIFUNZE UKULIMA BORA WA ZAO LA KARAFUU




Zanzibar ni maarufu kwa uzalishaji wa karafuu ulimwenguni kwa zaidi ya karne mbili sasa. Uzalishaji huo ulikuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka na kufikia tani 35,000 mwaka 1830 na kumiliki soko la karafuu duniani kwa asilimia 90. Bofya hapo chini kusoma zaidi



Post a Comment

0 Comments