Zanzibar ni maarufu kwa uzalishaji wa karafuu ulimwenguni kwa zaidi ya
karne mbili sasa. Uzalishaji huo ulikuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka
na kufikia tani 35,000 mwaka 1830 na kumiliki soko la karafuu duniani kwa
asilimia 90. Bofya hapo chini kusoma zaidi
0 Comments